Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sio Liverpool tu waliolizwa na Chelsea, kuna hawa pia

Mykhailo Mudryk Sells Mykhailo Mudryk

Tue, 15 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati wachezaji wawili wanaosumbua soko la usajili kwa sasa wakiikataa Liverpool na kuitaka Chelsea.

Rekodi zinaonesha sio tu Liverpool waliowahi ku;lizwa na Chelsea bali kuna vilabu kadhaa viliwahi kujaribu kugombea mchezaji na Chelsea wakaangukia Pua.

Kwa uchache kuna hawa;

Mikel Obi aliikataa Manchester United akaenda Chelsea.

Eden Hazard aliikataa Man United + City akatua Chelsea.

Willian aliikataa Spurs akatua Chelsea.

Mudryk aliikataa Arsenal akatua Chelsea.

Caicedoalikataa Liverpool ametua Chelsea.

Na sasa, Lavia ameikataa Liverpool anataka kutua Chelsea.

Je unadhani Chelsea wanafanikiwa wapi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live