Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida yaichapa Mtibwa Manungu, wazitaka point 3 kwa Simba

Elvis Rupia Vs Mtibwa.jpeg Straika wa Singida, Elvis Rupia alifunga bao pekee la ushindi katika mchezo huo

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Singida Big Stars imechukua pointi 3 Uwanja wa Manungu, Morogoro ikiichapa Mtibwa Sugar bao 1-0 likifungwa na mshambuliaji Elvis Rupia dakika ya 43.

Singida Big Stars imechukua pointi 3 Uwanja wa Manungu, Morogoro ikiichapa Mtibwa Sugar bao 1-0 likifungwa na mshambuliaji Elvis Rupia dakika ya 43. Singida BS mechi inayofuata itakuwa na kibarua cha kuikabili Simba katika mechi ya Ligi Kuu Oktoba 8 katika Uwanja wa Liti, Singida.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: