Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida watua Salama Dar, wajichimbia kuwasubiri Waarabu

Singida FG DAR Msafara wa Kikosi cha Singida FG

Tue, 5 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Singida Fountain Gate kimewasili salama Jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kuweka kambi maalum ya maandalizi ya mchezo wao wa kombe la shirikisho dhidi ya Future FC ya Misri.

Kikosi cha Singida Fountain Gate kimewasili salama Jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kuweka kambi maalum ya maandalizi ya mchezo wao wa kombe la shirikisho dhidi ya Future FC ya Misri. Singida wamefika Dar Septemba 4 na moja kwa moja wameanza kambi kwa ajili ya kuhakikisha wanamaliza mchezo nyumbani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live