Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida wafuta viingilio mechi vs Future FC

Singida FG Viingilio.jpeg Singida wafuta viingilio mechi vs Future FC

Tue, 12 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa klabu ya Singida Fountain Gate, kupitia kwa Afisa habari Hussein Massanza umetangaza hakuna kiingilio katika mchezo wao dhidi ya Future FC ya nchini Misri hatua ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika katika uwanja wa Azam Complex, Jumapili hii saa 10:00 jioni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live