Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida waendelea kusuka kikosi kimyakimya

Nicolas Wadada SIngida Singida waendelea kusuka kikosi kimyakimya

Fri, 26 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Singida Big Stars imeendelea kujiimarisha kwenye eneo lake la ulinzi imekamilisha usajili wa beki wa kulia Nicolas Wadada anayecheza Ihefu.

Singida Big Stars imeendelea kujiimarisha kwenye eneo lake la ulinzi imekamilisha usajili wa beki wa kulia Nicolas Wadada anayecheza Ihefu. Habari za uhakika zinadai Wadada tayari ameshamalizana na mabosi wa Singida na kilichobaki anasubili dirisha la usajili lifunguliwe na atangazwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live