Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida wachezea kichapo kutoka kwa Kagera

Singida Wachezea Kichapo Kutoka Kwa Kagera Singida wachezea kichapo kutoka kwa Kagera

Tue, 13 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Singida Fountain Gate imemaliza mzunguko wa kwanza Ligi Kuu Bara ikipokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa kagera Sugar katika Uwanja wa Kaitaba,

Bao pekee la mchezo huo limefungwa na David Luhende dakika ya 20 ambapo mchezo huo umehitimisha mzunguko wa kwanza kwa timu zote kucheza mechi 15.

Ushindi huo umeipaisha Kagera Sugar hadi nafasi ya 10 na kujikusanyia ponti 17 baada ya mechi 15 ikishinda 4, kupoteza 6, na sare 5.

Singida FG imesalia nafasi ya tano na pointi 20 katika michezo 15 ikishinda 5, sare 5 na kupoteza 5.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live