Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida kupepetana na Coastal Union leo!

Singida Kupepetana Na Coastal Union Leo! Singida kupepetana na Coastal Union leo!

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Singida FG leo wanawakaribisha Wagosi wa Kaya Costal Union katika uwanja wao wa nyumbani wa Litti.

Hii itakuwa ni mechi nyingine nzuri kwani Coastal Union wameanza kujipapatua kutoka mkiani na mpaka sasa kwenye msimamo, wapo nafasi ya 12 huku Singida wao wapo nafasi ya 5.

Coastal Union wametoka kushinda 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons ugenini huku Singida wao wakiwa wametoka kushinda dhidi ya Dodoma Jiji 2-1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live