Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida kama Simba tu

Wachezaji Singida FG.jpeg Singida Fountain Gate

Tue, 28 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kinachoitesa safu ya Ulinzi ya klabu ya Singida Fountain Gate ni kile kile kinachoitesa safu ya ulinzi ya Simba SC.

Japo kwa Singida Fountain gate wamekuwa wanacheza Vizuri sana , wanatengeneza nafasi na sasa hivi wanafunga ila Mtihani kwao ni Juu ya safu yao ulinzi kuruhusu magoli,

Walianza na Mlinda lango Beno Kakolanya na sasa Parapanda,

Je shida iko wapi ?

Kipa

Mabeki

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: