Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida hii kwa Yanga? mtawapa lawama tu

Aziz KI X Singida Singida hii kwa Yanga? mtawapa lawama tu

Fri, 27 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Singida Big Stars, tangu imepanda Ligi Kuu msimu wa 2022/23 haijawahi kuifunga Yanga.

Katika michezo miwili ya mwisho katika Ligi Kuu ambayo wamekutana huko nyuma, Singida imepoteza yote ikiruhusu mabao sita jambo ambalo linawapa kiburi mashabiki wa Yanga kuamini kuwa hata leo ushindi unapatikana.

Je, hii leo watavunja mwiko wa kugawa alama kwa Yanga? Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: