Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida: Waleteni Simba, Yanga

Singida Big Stars Won Kaitaba Singida: Waleteni Simba, Yanga

Fri, 4 Nov 2022 Chanzo: Mwanaspoti

Singida Big Stars (SBS) imeanza kujipanga kupata matokeo mazuri katika michezo mitano ijayo ya Ligi Kuu mwezi huu ikiwemo ile inayozikutanisha na Simba na Yanga.

Msemaji wa timu hiyo, Hussein Massanza alisema wamejipanga kupata matokeo ambapo kwa sasa wameweka kambi jijini Arusha.

SBS katika msimamo inashika nafasi ya sita ikiwa na pointi 14 katika michezo minane ambayo imecheza. Michezo ijayo itakuwa ni dhidi ya Polisi Tanzania, Novemba 6, Simba, Yanga, KMC na Ruvu Shooting.

Chanzo: Mwanaspoti