Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida: Mkitaka tuifunge Simba mje kutushangilia

Massanza Jr Afisa Habari wa Singida Fountain Gate, Hussein Massanza

Tue, 12 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba wanashuka Dimbani leo Machi 12 kuvaana na Singida ambao wako kwenye kipindi kigumu cha kupata matokeo kwa sasa.

Sasa Afisa habari wa Singida Fountain Gate, Hussein Massanza anasema;

“Kama unatimu yako nyingine lakini unatamani tushinde mechi yetu dhidi ya Simba karibu Chamazi utusapoti Singida.

“Wachezaji wanaitaka hii mechi, ndio mechi yao ya kuonyesha wamerudi kwenye hasira ya kupambana tuliyoizoea, kuna mamluki wengi wanataka kutengeneza gape ndefu na Simba waje watushangilie,”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live