Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida FG yavunja benchi lote la ufundi

Singida FG Ds Singida FG yavunja benchi lote la ufundi

Thu, 7 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Singida Fountain Gate imefikia uamuzi wa kulivunja benchi lote la Ufundi ambalo lilikuwa likiongozwa na kocha Thabo Senong (43) ambaye amedumu kikosini apo tangu Septemba 2023 akisaidizana na Nizar Khalfan.

Uamuzi huu umetokana na mfululizo wa matokeo mabaya katika klabu hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live