Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida FG yampa 'Thank you' Elvis Rupia

Elvis Rupia Vs Mtibwa.jpeg Singida FG yampa 'Thank you' Elvis Rupia

Fri, 19 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Unaambiwa klabu ya Singida Fountain Gate imethibitisha kuachana na aliyekuwa nyota wa klabu hiyo na Mfungaji bora wa Kombe la Mapinduzi "Top straika" Elvis Rupia ambapo wamemtakia kila la heri katika majukumu yake mapya.

Elvis Rupia anakuwa mchezaji wa mwisho kwenye orodha ya wachezaji walioachwa na klabu hiyo ya Singida, na hivyo amehitimisha idadi ya wachezaji 9 waliochwa mwezi huu kwenye klabu hiyo.

Wachezaji wengine walioondoka klabuni hapo ni pamoja na Marouf Tchakei, Medie Kagere, Duke Abuya, Khomeiny, Mukrim Issa, Joash Onyango, Morice Chukwu, pamoja Gadiel Michael.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live