Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida FG wahamia Arusha

Singida FG Arusha Singida FG wahamia Arusha

Wed, 6 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Singida Fountain Gate itautumia uwanja wa Black Rhino uliopo Karatu Arusha kwenye mechi zao za nyumbani.

Klabu hiyo imefikia uamuzi huo baada ya uwanja wa CCM LITI Singida kufungiwa na mamlaka za Soka.

Black Rhino ni miongoni mwa viwanja vyenye Ubora mkubwa sana na vyenye pitch nzuri kwa hapa Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live