Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida FG ndiyo kabu iliyotimua makocha wengi msimu huu

Pluijm Singida WA0073 Singida FG ndiyo kabu iliyotimua makocha wengi msimu huu

Thu, 2 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Singida Fountain Fate imejizolea umaarufu baada ya kuwa klabu yenye namba kubwa ya makocha waliyoifundisha mpaka sasa.

Msimu huu tu ambao umesaliwa na michezo 7/8 imeshafunshindwa na makocha 6. Kwenye Msimamo wa NBC wapo nafasi ya 11 kati ya vilabu 16.

Makocha hao ni:-

Hans Van Pluijm

Heron Ferreira

Ernst Middendorp

Thabo Senong

Jamuhuri Kihwelu 'Julio'

Ngawina Ngawina

Makocha wa kigeni 4

Wazawa 2

Mpaka Mwisho wa Msimu itakuwaje wajuba?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live