Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida FG nako kwa moto, washusha chuma kipya

Tshekechi Marouf Tchakei

Fri, 14 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Singida Fountain Gate FC imekamilisha Uhamisho wa Kiungo Fundi wa Kimataifa wa Togo,Marouf Tchakei akitokea Klabu ya AS Kara ya Nchini Togo.

Klabu ya Singida Fountain Gate FC imekamilisha Uhamisho wa Kiungo Fundi wa Kimataifa wa Togo,Marouf Tchakei akitokea Klabu ya AS Kara ya Nchini Togo. Singida Fountain Gate watashiriki Michuano ya Kimataifa msimu ujao (Kombe la Shirikisho Afrika)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live