Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida FG kuwatambulisha nyota wake wapya Agosti 2

Singida FG Kutambulisha Nyota Wake Singida FG kuwatambulisha nyota wake wapya Agosti 2

Wed, 26 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakulima wa alizeti Singida Fountain Gate ‘wataliamsha’ Agosti 02, 2023, kwenye Tamasha la Singida BIG DAY litakalofanyika katika dimba la Liti mjini Singida.

Wakulima wa alizeti Singida Fountain Gate ‘wataliamsha’ Agosti 02, 2023, kwenye Tamasha la Singida BIG DAY litakalofanyika katika dimba la Liti mjini Singida. Kupitia tamasha hilo Singida FG itatambulisha kikosi chake chote kitakachotumika msimu wa 2023/24 pamoja na kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa na timu ambayo kwa mujibu wa Afisa Habari wake Hussein Masanza wataiweka wazi siku chache zijazo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live