Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida Black Stars yampiga bei staa wake

Singida Ihefuuuuuuuuuuuuu Singida Black Stars

Sat, 31 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Singida Black Stars imekamilisha biashara ya kumuuza beki wake Benjamin Tanimiu ambaye ametimkia Crawley Town ya England .

Tanimiu mwenye umri wa miaka 22 ambaye ni raia wa Nigeria ameuzwa kwa dau la Tsh Bilioni 2.5.

Singida Black Stars watavuna asilimia 20 ya mauzo yake hapo baadae.

Hakuna kuficha ficha wanetu Singida Black Stars wamefanya biashara ya maana mno!

Chanzo: www.tanzaniaweb.live