Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida Black Stars yafunga usajili na Victorian Adebayor

Victorian Adebayor Sa Singida Black Stars yafunga usajili na Victorian Adebayor

Wed, 28 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Singida Black Stars imefunga usajili wake kwa kumsajili mshambuliaji, Victorian Adebayor raia wa Niger.

Klabu ya Singida Black Stars imefunga usajili wake kwa kumsajili mshambuliaji, Victorian Adebayor raia wa Niger. Nyota huyo aliyewahi kutajwa kujiunga na Simba SC miaka ya nyuma amesaini mkataba wa miaka miwili na klabu hiyo inayonolewa na kocha Patrick Aussems.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live