Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida Black Stars watua kwa Abdi Banda

Abdi Banda X Omary Banda Singida Black Stars watua kwa Abdi Banda

Fri, 28 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabosi wa Singida Black Stars wapo katika mazungumzo ya kumrejesha nchini beki wa kati, Abdi Banda anayeichezea Richards Bay FC ya Afrika Kusini.

Mabosi wa Singida Black Stars wapo katika mazungumzo ya kumrejesha nchini beki wa kati, Abdi Banda anayeichezea Richards Bay FC ya Afrika Kusini. Nyota huyo wa zamani wa Simba, Coastal Union, Mtibwa Sugar, Baroka na Chippa United inadaiwa amemaliza mkataba na Richards Bay hivyo yupo huru, japo Amazulu ya Sauzi inatajwa pia kumnyemelea.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live