Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida Big Stars waichapa Kagera Sugar Uwanja wa Liti

Bruno Gomes Singida Big Bruno Gomes, mfungaji wa bao pekee la Singida Big Stars

Tue, 17 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao pekee la kiungo Mbrazil, Bruno Gomes dakika ya 14 limeipa Singida Big Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi a Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa LITI mjini Singida.

Kwa ushindi huo, Singida Big Stars inafikisha pointi 40, ingawa inabaki nafasi ya tatu ikizidiwa pointi tatu na Azam FC baada ya wote kucheza mechi 20.

Kwa upande wao Kagera Sugar baada ya kichapo cha leo wanabaki na pointi zao 24 za mechi 20 nafasi ya nane.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live