Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida Big Stars wachukua pointi 3 kwa Dodoma Jiji

B0A2B71F 7171 47E6 BCFC 5F9D7BFCA970.jpeg Wachezaji wa Singida Big Stars wakimpongeza mfungaji wa bao la ushindi, Bruno Gomes

Tue, 27 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao pekee la nyota Mbrazil, Bruno Gomes dakika ya 80 limeipa Singida Big Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa jana Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Bao pekee la nyota Mbrazil, Bruno Gomes dakika ya 80 limeipa Singida Big Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa jana Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Kwa ushindi huo, Big Stars wanafikisha pointi 34, ingawa wanabaki nafasi ya nne wakizidiwa pointi tatu na Azam FC baada ya wote kucheza mechi 18, wanabaki Dodoma Jiji inabaki na pointi zake 18 za mechi 18 nafasi ya 12.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live