Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida Big Stars kuibomoa Azam FC

Nathaniel Chilamboooo Nathaniel Chilambo

Fri, 19 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Singida Black Stars imefungua mazungumzo ya kumsajili mlinzi wa kulia wa Azam Nathaniel Chilambo.

Mkataba wake na Azam umebaki miezi mitatu tu.

Haitokuwa rahisi kwa Azam kubaki nae licha ya kwamba wapo kwenye mpango wa kumuongezea mkataba mpya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live