Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida Big Stars kuhamia Mwanza?

Singida Big Stars Kigoma.jpeg Kikosi cha Singida Big Stars

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Singida Fountain gate imeununua uwanja wa Gwambina uliopo misungwi mkoani Mwanza na utatumika kwaajili ya maendeleo ya vijana na timu za wanawake, uwanja huo utabadilishwa jina na kuitwa Fountain Gate Stadium kutoka Gwambina Complex.

Klabu ya Singida Fountain gate imeununua uwanja wa Gwambina uliopo misungwi mkoani Mwanza na utatumika kwaajili ya maendeleo ya vijana na timu za wanawake, uwanja huo utabadilishwa jina na kuitwa Fountain Gate Stadium kutoka Gwambina Complex. Kwa mujibu wa maelezo ya Afisa habari na mawasiliano wa klabu hiyo Hussein Massanza amesema klabu yao haitahama mkoani Singida na bado wanaendelea na zoezi la ujenzi wa uwanja wao mkoani Singida.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live