Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simuogopi Messi wala Ronaldo

Simuogopi Messi Simuogopi Messi wala Ronaldo

Tue, 5 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki katili Ali Hadi Mohammed Al-Bulaihi aliyesogea angani kwa futi 6 hajawahi kuwachekea kabisa wachezaji bora wa dunia Lionel Messi na Ronaldo alipocheza dhidi yao.

Novemba 22 mwaka 2022 wakati timu ya taifa ya Saudia Arabia wanaikanda Argentina 2 -1 kombe la dunia Qatar mwamba Ali Al-Bulayhi hakumuacha kabisa Messi awe na amani.

Juzi akiwa na timu yake ya Al Hilal ya Saudia Arabia alikuwa anacheza dhidi ya Al Nassr ya Cristiano Ronaldo ilikuwa mechi muhimu sana katika mbio za ubingwa.

Mwamba hakucheka na Ronaldo akaikumbusha ubabe wake dhidi ya Messi kombe la dunia

Chanzo: www.tanzaniaweb.live