Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yawaaga mastaa wanne

Kapama Mwanuke Chilunda 0008 Simba yawaaga mastaa wanne

Tue, 16 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba imetangaza rasmi kuachana na nyota wake wanne ambao ni wazawa baada ya dirisha dogo la usajili kufungwa usiku wa Januari 15, 2024.

Nassoro Kapama

Shaban Chilunda

Jimmyson Mwanuke

Mohamed Mussa.

Kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii, Simba wamepost picha za wachezaji hao na kuandika; "Tunawashukuru kwa kazi waliyoifanya wakiwa sehemu ya kikosi chetu na tunawatakia kila la kheri huko waendapo."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live