Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yatua kwa Baleke

Baleke Jean.jpeg Jean Baleke

Thu, 12 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

TETESI: Klabu ya Simba SC imeripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na klabu ya TP Mazembe juu ya kumsajili mshambuliaji Jean Baleke kwa mkataba wa mkopo wa miez sita (6).

TETESI: Klabu ya Simba SC imeripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na klabu ya TP Mazembe juu ya kumsajili mshambuliaji Jean Baleke kwa mkataba wa mkopo wa miez sita (6). Baleke (21) raia wa DRC alikuwa kwa mkopo nchini Lebanon kunako klabu ya Nejmeh. Simba inamuona mshambuliaji huyo kama chaguo sahihi kwa aina ya mshambuliaji aliyependekezwa na kocha Robertinho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live