Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yatoka sare na CSKA Moscow ya Urusi

Kyombo Smsls Simba vs CSKA Moscow

Sun, 15 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya soka ya Simba ya Dar es Salaam, imetoka sare ya mabao 2-2 na CSKA Moscow ya Urusi mchezo uliomalizika muda mfupi uliopita mjini Abu Dhabi.

Mchezo huo wa kimataifa wa kirafiki uliokuwa mkali na wa kusisimua, ambapo hadi mapumziko Simba ilikuwa nyuma kwa mabao 2-0.

Hata hivyo Simba ilibadilika kipindi cha pili na kusawazisha mabao hayo mfungaji akiwa Habib Kyombo. CSKA inashiriki Ligi Kuu ya Urusi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live