Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yatabiriwa nusu fainali CAFCL

Simba Final Train.jpeg Simba SC

Thu, 4 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtabiri maarufu Kutoka nchini Libya Aboubakar El Han ametabiri mechi za Mwisho za Hatua ya Robo Fainali ya CAF Champions League league.

El Han amewashtua watu wengi Hasa Wadau wa Soka na Mashabiki Nchini Misri baada ya kutabiri kuwa Timu ya Al Ahly kutoka Masri itaondolewa na Simba SC kwenye mashindano hayo.

Timu alizozitabiria kuingia nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ni Simba SC, Mamelodi Sundown, Esperance de Tunis na TP Mazembe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live