Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yashusha straika mwingine kutoka Zambia

Freddy Michael Kouablan (17).jpeg Simba yashusha straika mwingine kutoka Zambia

Tue, 16 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba imenasa saini ya mshambuliaji Freddy Michael Kouablan raia wa Ivory Coast akitokea Green Eagle ya Zambia.

Kouablan (25) katika msimu wa 2023/24 amecheza mechi 17 na kufanikiwa kufunga mabao 12 huku akiwa hana asisti.

Straika huyo anakuja kuongeza nguvu eneo la ushambuliaji baada ya jioni ya leo Simba kumtambulisha Pa Omar Jobe raia wa Gambia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live