Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yashusha straika Mserbia

Mserbia Dejan Georgejevic Simba yashusha straika Mserbia

Sun, 7 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba imemtambulisha Striker kutoka Serbia, Dejan Georgejevic kama mshambuliaji wake mpya katika msimu wa mashindano wa mwaka 2022/23.

Mwamba huyu amezaliwa 19 Jan,1994 Raia wa Serbia umri Miaka 28, alikuwa anakipiga katika klabu ya Slovenian_PrvaLiga. Mchezaji huyo anakamilisha idadi ya Wachezaji 12 wa kigeni Simba SC.

Taarifa ya Simba imesema;

"Taarifa rasmi ikufikie kwamba mshambuliaji wa magoli, mchezaji wa kimataifa kutoka nchini Serbia, Dejan Georgijević ni Mnyama".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live