Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yashusha dozi nzito Kombe la TFF, Phiri apiga bao 4

Simba Vs Eagle.jpeg Simba wameibuka na ushindi wa mabao 8-0

Sun, 11 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Simba imefanikiwa kwenda Raundi ya Tatu ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 8-0 dhidi ya Eagle FC Disemba 10, Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Timu ya Simba imefanikiwa kwenda Raundi ya Tatu ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 8-0 dhidi ya Eagle FC Disemba 10, Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba SC katika mtanange huo yamefungwa na washambuliaji Habib Kyombo dakika ya 10, Mzambia Moses Phiri manne dakika za 15 kwa penalti, 18, 24 na 20 na mengine yamefungwa na viungo, Msenegal Pape Ousmane Sakho dakika ya 28 na Mzambia Clatous Chama mawili dakika ya 32 na 74.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live