Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yasaini Mkataba na ATCL

Video Archive
Fri, 17 Sep 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba Sports Club, leo Septemba 17, imeingia mkataba wa miaka miwili na Shirika la Ndege Tanzania ATCL, mkataba huo unathamani zaidi ya milioni 400.

Klabu ya Simba Sports Club, leo Septemba 17, imeingia mkataba wa miaka miwili na Shirika la Ndege Tanzania ATCL, mkataba huo unathamani zaidi ya milioni 400. Kwa kipindi cha miaka miwili Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) litakuwa mshirika wa Simba katika huduma za usafiri wa anga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live