Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yamtandika JKU 3-1

Simba YAmfunga JKU Mapinduzi Simba yamtandika JKU 3-1

Mon, 1 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi Simba SC,wameanza vizuri mashindano ya Mapinduzi Cup kwa kumtandika JKU 3-1.

Mechi hiyo iliyokuwa na ushindani wa aina yake imepigwa katika Uwanja wa Amaan Visiwani Zanzibar.

Magoli ya Simba yalifungwa na Moses Phiri, Jean Baleke na kinda usajili mpya, Saleh Karabaka.

Goli la kufutia machozi la JKU lilifungwa na Neva Kaboma.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live