Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yamtambulisha Debora

Debora Fernandez Mavambo 2Qd.jpeg Debora Fernandez Mavambo

Mon, 8 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu Simba imethibitisha usajili wa kiungo Debora Fernandez Mavambo aliyekuwa akitandaza soka Ligi Kuu ya Zambia.

Ni kiungo mwingine anayetua kuzidi kuimarisha eneo hilo ambalo sasa limesheheni mafundi.

Ni mzaliwa wa Congo Brazaville lakini pia ana uraia wa Ghabon ambapo ameitumikia timu ya Taifa ya nchi hiyo.

Debora ni kiraka anayemudu kucheza nafasi yoyote katika eneo la kiungo. Ni moja ya sajili zilizokuwa zikisubiriwa kwa hamu kubwa na Wanamsimbazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live