Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yamshusha MVP wa Ivory Coast, Jean Ahoua

Ahoua Jean Simba Ahoua Jean Charles

Wed, 3 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba SC imenasa saini ya kiungo mshambuliaji raia wa Ivory Coast, Ahoua Jean Charles, kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Stella Club d'Adjamé ya nchini humo

Katika msimu wa 2023/24, Ahoua (22) alikuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Ivory Coast na klabu yake.

Jean anayecheza nafasi ya Kiungo mshambuliaji amefunga magoli 12 na kutoa assist 9 katika michezo ya Ligi Kuu Ivory Coast.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live