Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yamkanda JKT Tanzania 1- 0, pointi nne zasalia kumkuta Yanga

Ins  1818237268 Simba yamkanda JKT Tanzania 1- 0, pointi nne zasalia kumkuta Yanga

Thu, 15 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba wamefanikiwa kuondoka na alama tatu mbele ya JKT Tanzania baada ya kuwafunga 1-0.

Mbungi hiyo ya Ligi ya NBC imepigwa kwenye uwanja wa Meja Jenerali Semunho, Mbweni jijini Dar ambapo bao pekee la Simba lilifungwa na Clatous Chama dakika ya 33 ya mchezo.

Simba imefikisha alama 36 baada ya kucheza michezo 15 na sasa amebakiza alama 4 pekee kumfikia mpinzani wake Yanga ambaye anaongoza Ligi akiwa na alama 40.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live