Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yakomaa na Kanoute

Kanoute Arejea Uwanjani, Kukiwasha Leo Dhidi Ya Mashujaa.jpeg Sadio Kanoute

Mon, 1 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba inaendelea na mazungumzo na kiungo Sadio Kanoute ili kuachana nae kuelekea msimu ujao.

Sadio Kanoute anahitajika kuondoka Klabu ya Simba ambapo nafasi inatajwa itachukuliwa na Augustine Okejepha, maamuzi ya mwisho yatatolewa hivi karibuni.

Ikiwa mazungumzo yatakwenda vizuri basi Sadio Kanoute atapewa kwaheri ikiwa mazungumzo hayatakamilika basi atasalia klabuni hapo lakini viongozi wengi wa Simba hawamuhitaji Kanoute.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live