Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yajitoa usajili wa Mpanzu

Mpanzu Simba yajitoa sakata la Mpanzu

Thu, 18 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba imejitoa rasmi kwenye mbio za kuwania saini ya Winga Elie Mpanzu kutoka Klabu ya AS Vita Club licha ya kurudi kwa mara ya pili kupeleka ofa!

Klabu ya Simba imejitoa rasmi kwenye mbio za kuwania saini ya Winga Elie Mpanzu kutoka Klabu ya AS Vita Club licha ya kurudi kwa mara ya pili kupeleka ofa! Taarifa zinaeleza kuwa Simba imeachana na mbio hizo kwa kushindwa kufikia matakwa ya AS Vita Club waliyohitaji ili kumuachia mchezo huyo, lakini Simba walikuwa walishakubaliana kila kitu na Elie Mpanzu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live