Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yajipigia Kipanga FC

Simba Kipanga 334.jfif Simba yajipigia Kipanga FC

Thu, 29 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Simba Sports Club imeibuka kidedea baada ya kuilaza Kipanga FC kwa magoli 3-0 katika mchezo wao wa kirafiki uliopigwa huko visiwani Zanzibar.

Magoli ya Simba yamewekwa wavuni na Augustine Okrah akifunga goli la kwanza na goli la pili, huku Kibu Denis akifunga goli la tatu na la mwisho katika mchezo huo.

Kikosi cha Simba sc chini ya Juma Mgunda imeshinda mechi zote tano na haijaruhusu goli lolote katika michezo yote.

A ✅ Win ???? Nyasa Big Bullets (2-0) H ✅ Win ???? Nyasa Big Bullets (2-0) A ✅ Win ???? Tanzania Prisons (1-0) A ✅ Win ???? Malindi Sports Club (1-0) A ✅ Win ???? Kipanga FC (3-0)

Magoli ya kufunga 9 bila kuruhusu goli..

Chanzo: www.tanzaniaweb.live