Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yajipigia Dar City 4-0

Simba Kipigoo A0007 Simba yajipigia Dar City 4-0

Sun, 19 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo kikosi cha Simba SC kimecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Dar City na kushinda goli 4-0.

Wafungaji wa magoli hayo ni beki Che Malone, Willy Onana, Israel Mwenda Patrick na Moses Phiri.

Mnyama anaendelea kujifua kwaajili ya mchezo wa kwanza hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast.

Mechi hiyo itachezwa Benjamin Mkapa Novemba 25, 2023 saa 10:00 jioni

Chanzo: www.tanzaniaweb.live