Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yajibu sakata la kufungiwa kusajili kisa Sakho

SARAKASI SAKHO Simba yajibu sakata la kufungiwa kusajili kisa Sakho

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeifungia kusajili Klabu ya Simba mpaka itakapolipa madai ya Klabu ya Teungueth ya Senegal juu ya mauzo ya Mchezaji Pape Ousmane Sakho ambaye kwasasa anakipiga katika Timu ya Quevilly Rouen Metropole ya Ufaransa.

Klabu ys Simba imefafanua kuhusu maamuzi hayo ya FIFA;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live