Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yaifuata Kagera Sugar

Simba Zenzjis Simba yaifuata Kagera Sugar

Sat, 11 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba SC kimeianza safari kuelekea mkoani Kagera kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu kesho dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa Uwanja wa Kaitaba.

Kikosi cha Simba SC kimeianza safari kuelekea mkoani Kagera kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu kesho dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa Uwanja wa Kaitaba. Mpaka sasa Simba imecheza michezo 25 na kujikusanyia alama 56 katika nafasi ya tatu wakati Kagera Sugar wamecheza michezo 26 na kujinyakulia alama 30 wakijichimbia nafasi ya tisa kwenye msimamo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live