Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yafuata mbadala wa Onana Asec Mimosas

Pokouuu (12).jpeg Simba yafuata mbadala wa Onana Asec Mimosas

Fri, 26 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa timu ya Asec Mimosas, Serge Pokou @tgvnational_p23 raia wa lvory Coast anatajwa huko Msimbazi kwenda kuchukua nafasi ya Willy Essomba Onana ambae ameonekana kuwa msimu mbaya.

Serge Pokou mwenye umri wa miaka 23 msimu huu ameichezea ASEC Mimosas mechi 12 kwenye CAF Champions League akifunga magoli matatu akitoa assist 1.

Hali ya Willy Essomba Onana ndani Simba SC imezidi kuwa mbaya haswa siku za karibuni huku klabu ya Super Sports United ya Afrika Kusini ikitajwa kuiwinda saini ya nyota huyo raia wa Cameroon.

Onana amekuwa akiwasiaida Simba katika michezo ambayo simba anahitaji alama muhimu.

ASEC WATARUHUSU OFA YA MNYAMA??

Chanzo: www.tanzaniaweb.live