Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yaanza vizuri pre-season, yaishindilia El Qanah

Simba El Qanah Simba yaanza vizuri pre-season, yaishindilia El Qanah

Mon, 22 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba Sc imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya klabu ya El Qanah katika dimba la Old Suez Canal kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa huko Misri.

FT: EL QANAH 0-3 SIMBA SC

14’—⚽️ Jean Ahoua

16’—⚽️ Jean Ahoua

120’—⚽️ Augustine Okejepha.

Mchezo huo uliochezwa kwa vipindi vitatu vya dakika 40' kufanya jumla ya dakika 120 ni mwanzo wa maandalizi ya Wekundu hao wa Msimbazi kuelekea msimu mpya wa 2024/25.

El Qanah ni Klabu inayoshiriki Ligi daraja la pili nchini Misri na kwenye ligi yao wamemaliza wakiwa nafasi ya 10 kwenye michezo 28 waliyocheza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live