Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yaanza vitisho, yaanika CV ya Kocha wake

CV Kocha Simba (600 X 687) Wasifu wa Kocha mpya wa Simba

Sun, 7 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

"CV imeshiba, Mwaka huu hatuachi tena kitu. Tunabeba yote " ndicho kinachosemwa na Klabu ya Wekundu wa msimbazi Simba SC hivi sasa.

Baada ya jana Novemba 6, kumtambulisha Kocha mpya Pablo Franco ambae amesaini kandarasi ya miaka miwili na maneno kuwa mengi kuhusu alikopitia kocha huyo.

Leo Klabu ya Simba imeweka hadharani Elimu na uzoefu wa Kocha huyo raia wa Uhispania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live