Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yaanza tizi Misri

Simba Mazoezi AgpZSF.jpeg Simba yaanza tizi Misri

Tue, 9 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba SC kimeanza mazoezi mara baada ya kuwasili katika jiji la Ismailia nchini Misri.

Pichani ni baadhi ya wachezaji wa Simba SC wakiwa katika mazoezi ya kwanza kwajili ya kuanza msimu mpya wa Ligi Kuu 2024/25.

Simba wamesafiri na kuweka kambi ya maandalizi ya msimu huko Misri ikiwa na nyota wake wapya iliowasajili katika dirisha kubwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live