Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yaanza mazoezi kuiwinda Singida Big Stars

FgkRl8PXoAAzGxe Scaled Simba Sports Club imeanza mazoezi rasmi

Thu, 3 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya mapumziko ya siku mbili kikosi chetu kimefanya mazoezi leo katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Big Stars utakaopigiwa Novemba 9.

Wachezaji walipewa ruhusa ya kwenda kukutana na familia zao baada ya ushindi wa mabao 5-0 waliopata  Jumapili Oktoba 30 dhidi ya Mtibwa Sugar.

Wachezaji wote wamefanya mazoezi isipokuwa Jimmyson Mwanuke na Israel Patrick ambao bado ni majeruhi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live