Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba wazindua 'Back To School'

Simba Wazindua Back To School.jpeg Simba wazindua 'Back To School'

Tue, 5 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba SC leo imezindua programu maalum waliyoipa jina ya “Back To School” ikiwa na lengo la kuzalisha vipaji vipya na kuzalisha pia Mashabiki wa Simba SC tangu wakiwa wadogo.

Klabu ya Simba SC leo imezindua programu maalum waliyoipa jina ya “Back To School” ikiwa na lengo la kuzalisha vipaji vipya na kuzalisha pia Mashabiki wa Simba SC tangu wakiwa wadogo. Programu hiyo imetambulishwa na CEO wa Simba SC Imani Kajula na kupewa nguvu na NMB ambapo waliwakilishwa na Meneja Mahusiano katika michezo Hassan Bumbuli kutokea NMB.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live