Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba wawawahi Power Dynamos Chamazi

Simbasctanzania 1695805638773.jpeg Simba wawawahi Power Dynamos Chamazi

Wed, 27 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba SC, leo Septemba 27, 2023 kimefanya mazoezi kwenye uwanja wa Azam Complex kwa ajili ya kuuzoea uwanja ambao watautumia Jumapili dhidi ya Power Dynamos mchezo wa Klabu Bingwa Afrika.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema hilo leo Septemba 27, 2023 alipokuwa akiuzungumzia mchezo huo.

"Kikosi leo kimefanya mazoezi kwenye Uwanja wa Azam Complex pale Chamazi kwa ajili ya kuzoea uwanja. Tangu tumeanza msimu huu hatujawahi kutumia ule uwanja. Wapo wachezaji wetu wengi wanaujua uwanja ule na wao wengine hawaujui," alisema Ahmed.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live